Posts

Growing agricultural mechanisation boosts morale of Mbarali paddy growers.

Image
  By Paul Mahundi,Dar es salaam Mbarali, the second largest district in Mbeya Region after Chunya, is set to increase paddy production because of growing agricultural mechanisation that is targeting smallholder growers in the district.    Mechanisation is championed by the Tanzania Agricultural Development Bank (TADB). Smallholders are Tanzania’s main growers of paddy and the government asserts in the National Rice Development Strategy Phase II (NRDS II) “around 90% of Tanzania’s rice production takes place under smallholder system.   The sizes of rice farms range from 0.5 to 3 ha, with an average farm size of 1.3 ha.” A Mbarali paddy grower who attended   the just- ended 45 th Dar es Salaam International Trade Fair ( DITF), Mr Amos Mwangulube, told agriculture reporters here   that morale of paddy growers in their district has increased because   15 combine harvesters receive by Nguvu Kazi ya Wanavala Cooperative society wil...

TADB-supported projects for Uhuru call

Image
By Mosses Ferdinand, Mwanza     Mwanza, Kagera, Mara Reions have picked 3 TADB-supported for Uhuru Torch call that are being implemented   in Missungwi, Nyamagana, Ngara, Tarime and Roya Districts.   A press statement on the projects issued here yesterday by the TADB Zonal Manager, Mr Mike Granta,   says   Authur Mgongo Poultry Farm with branches in Missungwi and Nyamagana Districts, Mwanza Region, was picked for Uhuru Torch call because it is touted as state of art modern poultry farm in the two districts and was declared a demonstration farm by Mwanza Region development committee.   “TADB has financed construction of the building and cage at a valued cost of 300m/-. Nyamagana District Council is also using this project as an institution for students to get practical training in poultry keeping,” the statement says.   Superior quality coffee seedlings are being distributed to coffee growers to replace traditional variety and...

TADB: Wakulima Kunufaika na Dhamana ya mikopo kwa asilimia 50%

Image
Na Mosses Ferdinand, Dar es salaam, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewahakikishia dhamana ya asilimia hamsini (50%) wakulima ili kuwawezesha kuweza kupata mikopo itakayoweza kuwezesha ufanisi katika sekta ya kilimo.   Akizungumza mara baada ya kusaini makubaliano yenye thamani ya Dola za Kimarekani Milioni 20 na Mfuko wa Dhamana Afrika (AGF), Makao Makuu ya Benki hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bw. Japhet Justine amesema Benki imeingia makubaliano hayo kwa lengo la kuwainua wakulima wadogowadogo, wa kati na wakubwa ili kuwawezesha uarahisiwa kupata mikopo kwa kupata dhamana nafuu.   “Leo tumefikia makubaliano haya na wenzetu wa AGF yenye malengo mazuri kwa wakulima wetu kwa maana kurahisisha kupata dhamana ya asilimia hamsini pindi waombapo mkopo” Alisema Bw. Japhet.   Amesema makubaliano hayo yamejikita pia kwenye kuwasaidia wanawake kwa kuwa sehemu kubwa ya watu wanaofanya shughuli za kilimo nchini ni wanawake.   “Wote tun...

TADB yaahidi kuwapatia mikopo wakulima wa zabibu

Image
  Na Abdallah Luambano, Dodoma Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), imewahakikishi wakulima wa zao la zabibu kupata mikopo itakayosaidia uzalishaji wa zao hilo ambalo ni miongoni mwa mazao ya kimkakati na muhimu kwa utoaji wa malighafi ya kutengenezea mvinyo. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano    na wadau wa zao hilo ulioitishwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana jijini hapa, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Japhet Justine amesema benki yake itaendelea kutekeleza mikakati ya serikali ya kukuza sekta ya kilimo kwa kutoa mikopo ambayo itasaidia kuongeza uzalishaji na kuwaunganisha wakulima wengi kwenye mnyororo wa thamani wa mazao. “Miongoni mwa malengo ya kuanzishwa kwa benki hii ni pamoja na kuhakikisha inachangia kwa kiasi kikubwa katika kuleta mapinduzi yenye tija katika sekta ya kilimo nchini kwa kuwezesha upatikanaji wa mikopo. Tunawahakikishia wakulima wa zabibu mikopo yenye masharti nafuu na ambayo itasaidia kuongeza...

NEMC yahimiza ushirikiano na halmashauri kulinda mazingira, kuvutia wawekezaji

Image
Na Abdallah Luambano,Dar es salaam Baraza la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira nchini (NEMC) limeziomba halmashauri nchini kuweka mazingira safi na salama ili kulinda afya za watu na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje. Mkurugenzi wa NEMC, Dkt Samuel Gwamaka,  amesema hapa kwamba mafanikio ya nchi ya kiuchumi lazima yaendane  na ustawi, usimamizi na utunzwaji wa mazingira ili kulinda afya za watu, uhai wa viumbe wengine na kuwavutia wawekezaji. “Nchi yetu imepata mafanikio makubwa. Ili mafanikio haya yawe endelevu  lazima halmashauri zihakikishe mazingira ni rafiki kwa jamii.” Alisema Dkt. Gwamaka. Dk. Gwamaka amesema mazingira ya  yakiwa mazuri na salama yatavutia wawekezaji wengi zaidi kutoka nje ya nchi yetu na  mapato yataongezeka kutokana na kodi na hata kuchagiza fursa za ajira kwa  vijana nchini. “Natoa rai kwa halmashauri zetu kutambua kwamba hawa wawekezaji wanaangalia vitu vingi ikiwemo na mazingira ya eneo la kuwekeza hivyo ni jukumu le...

NEMC: councils should keep environment clean to attract investors

Image
  By Abdallah Luambano, Dar es Salaam The National Environment Management Council (NEMC) has called on city, municipal and town councils to ensure the environment in their jurisdictions remains safe and clean in order to attract investors. NEMC Director General Samuel Gwamaka said here a clean and safe environment was one of important considerations for investors. Investors, he explained, were very mindful of their resources.  Investors do not want undue inconveniences, or run into avoidable problems and suffer loses, he explained, and called on leaders and people to be mindful of that fact too in order to promote economic growth in their areas. “Local councils are very close to the people and have a lot of powers to make by-laws where necessary to ensure cleanliness and safe environment in order to protect people’s health and their safety.  Now that our country has become a middle-income economy, councils must keep their areas clean and friendly to society in ord...

NEMC yahimiza ushirikiano na halmashauri kulinda mazingira, kuvutia wawekezaji

Image
  Na Paul Mahundi, Dar es salaam   Baraza la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira nchini (NEMC) limeziomba halmashauri nchini kuweka mazingira safi na salama ili kulinda afya za watu na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje. Mkurugenzi wa NEMC, Dkt Samuel Gwamaka,   amesema hapa kwamba mafanikio ya nchi ya kiuchumi lazima yaendane   na ustawi, usimamizi na utunzwaji wa mazingira ili kulinda afya za watu, uhai wa viumbe wengine na kuwavutia wawekezaji. “Nchi yetu imepata mafanikio makubwa. Ili mafanikio haya yawe endelevu   lazima halmashauri zihakikishe mazingira ni rafiki kwa jamii.” Alisema Dkt. Gwamaka. Dk. Gwamaka amesema mazingira ya   yakiwa mazuri na salama yatavutia wawekezaji wengi zaidi kutoka nje ya nchi yetu na   mapato yataongezeka kutokana na kodi na hata kuchagiza fursa za ajira kwa   vijana nchini. “Natoa rai kwa halmashauri zetu kutambua kwamba hawa wawekezaji wanaangalia vitu vingi ikiwemo na mazingira ya eneo la kuwekeza hivy...

NEMC: councils should keep environment clean to attract investors

Image
By Paul Mahundi, Dar es Salaam The National Environment Management Council (NEMC) has called on city, municipal and town councils to ensure the environment in their jurisdictions remains safe and clean in order to attract investors. NEMC Director General Samuel Gwamaka said here a clean and safe environment was one of important considerations for investors. Investors, he explained, were very mindful of their resources.   Investors do not want undue inconveniences, or run into avoidable problems and suffer loses, he explained, and called on leaders and people to be mindful of that fact too in order to promote economic growth in their areas. “Local councils are very close to the people and have a lot of powers to make by-laws where necessary to ensure cleanliness and safe environment in order to protect people’s health and their safety.   Now that our country has become a middle-income economy, councils must keep their areas clean and friendly to society in order to attr...

Tanzania praised for being keen on fertilisers going to farmers

Image
By Abdallah Luambano, Dar es Salaam Yara Tanzania Limited, a local branch of the Norwegian fertiliser-producing company, has praised the government for being strict on fertilisers going to farmers thus protecting growers from receiving fake or bad fertilisers that would otherwise be pushed in the market because of indifference on the part of authorities. Speaking to reporters two days after Prime Minister Kassim Majaliwa launched national deliveries operation for taking free Yara fertilisers to registered farmers countrywide, Yara Tanzania Ltd Managing Director, Mr Winstone Odhiambo, commended the government for being very particular on fertilisers being sold to Tanzanian farmers.    He said national institutions entrusted with control of farm inputs researched and satisfied themselves before fertilisers were put into circulation. I am thankful to the government, through the ministry of agriculture, for cooperating with us in implementing our companys initiative...

YARA yajizatiti kuchangia uimarishaji wa sekta ya kilimo

Image
Na Abdallah Luambano, Dar es Salaam Kampuni ya YARA Tanzania imeahidi kushirikiana na serikali kwa karibu sana ili kuhakikisha mpango wa ugawaji mbolea bure kwa wakulima nchini unakuwa wa manufaa kwa wakulima na taifa kwa jumla.    Akizungumza na waandishi wa habari juzi, siku chache  baada ya uzinduzi wa ugawaji wa mbolea uliofanyika Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bw.Winstone Odhiambo,  alisema mpango huo umelenga kuhakikisha nchi za Afrika ikiwemo Tanzania zinajitosheleza katika kuzalisha chakula.  Kwa upande wa Tanzania mpango huo ni jitihada ya kampuni yao kuchangia jihada ya serikali katika kuimarisha sekta ya kilimo. Lengo la kampuni ni kuhakikisha  uzalishaji wa mazao hususani mahindi na mpunga unaongezeka katika nchi za Afrika kupitia mradi maalum wa kampuni ujulikanao kama Action Africa,alisema Odhiambo Alisema mradi wa ugawaji mbolea bure ni moja ya miradi mikubwa ambayo imetekelezwa tangu kampuni kuanzis...

Waziri Bashe azindua kiwanda cha pamba cha Chato

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),Bw.Japhet Justine (kushoto)akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Kilimo,Bw.Hussein Bashe muda mfupi baada ya kukizindua kiwanda cha pamba cha Chato(CCU) mwishoni mwa wiki.Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Gabriel.TADB imeshatoa kiasi cha shilingi bilioni 6.7 kukifufua kiwanda hicho. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania(TADB),Japhet Justine akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa kiwanda cha pamba Chato mwishoni mwa wiki.TADB imetoa kiasi cha shilingi bilioni 6.7 kukifufa kiwanda hicho.Uzinduzi ulifanywa na Naibu wa Kilimo,Bw. Hussein Bashe na kuhudhuriwa pia na Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Gabriel.   Na Abdallah Luambano, Chato NAIBU Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezidua Kiwanda cha Pamba cha Chato (CCU) na kuielezea hatua kama mpango kabambe wa serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais  Dkt. John Pombe Magufuli  wa kujenga sekta ya kilimo inayojite...

Waziri Mkuu azindua mpango wa ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima 83,000 nchini

Image
Balozi wa Norway Nchini Bi.Elisabeth Jocobsen(wapili kulia) akizunguma jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa(wapili kushoto) mara baada ya kuzindua mpango wa kusambaza mbolea bure kwa wakulima wadogo nchini mpango umeratibiwa na Kampuni ya YARA Tanzania kupitia mradi wa uitwao Action Africa ambapo zaidi ya tani 12,500 zitatolewa. kushoto ni Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga na Kulia ni Mkurugenzi wa YARA Tanzania Winstone Odhiambo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza jambo katika uzinduzi wa rasmi wa ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima zaidi ya 83,000 nchini uliofanyika ofisi za kampuni ya YARA Tanzania jijini Dar es Salaam na kumeratibiwa na Kampuni hiyo kupitia mradi wa Action Africa ambapo zaidi ya tani 12,500 zitatolewa. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa(watatu kulia) akinyanyua bendera kuashiria uzinduzi rasmi wa ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima wadogo nchini uliofanyika ofisi za kampuni ya YARA Tanzania jijini Dar es Salaam na kumeratibiwa na Kampuni hiyo kupitia mradi ...

Mshairi: Talanta ya mtu ni hazina ya ajira yake

Image
Na Isdory Njavike, Dar es salaam Mshairi chipuki, Aisha Kingu, jana Jijini Dar es Salaam amewaomba  vijana wa Tanzania kuzienzi talanta zao na kuziendeleza kwani  wakizitumia talanta hizo taratibu wataweza kujiajiri. Akiongeza kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu chake cha mashairi ya  Kiingereza kiitwacho Poetry Rebirth kijana huyo amesema talanta ya mtu  imeficha fursa nyingi ikiwa ni pamoja na kujiajiri.   Ameeleza kuwa  mafanikio ni matokeo ya kujituma, kazi ngumu  na yenye ustadi ndani  yake na  ustahimilivu na kwamba talanta huibuka kutokana na kazi ya  aina hiyo.  Aisha Kingu  amesema kitabu hicho  kimebeba  mashairi 101 yanayogusa  nyanja tofauti za maisha yakiwemo mashairi ya shukrani, upendo,  mafanikio, na matumaini..  “Nimeandaa hafla hii ili kupata nafasi ya kuwapa  hamasa  vijana  wezangu wenye vipaji  kutambua na kuendeleza vipaji vyao ili viwe  nyenzo muhimu k...