Posts

Showing posts with the label Business and Finance

Waziri Sima: NEMC haitakuwa kikwazo kwa wawekezaji

Image
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bw. Mussa Sima akizungumza na waandishi wa habari mkoani Mtwara hivi karibuni jinsi Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) ambalo lipo chini ya Ofisi yake kwa namna linavyopambana kuweka mazingira rafiki ili kuendelea kuwavutia wawekezaji hapa nchini. NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bw. Mussa Sima akizungumza na waandishi wa habari mkoani Mtwara hivi karibuni jinsi Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) ambalo lipo chini ya Ofisi yake kwa namna linavyopambana kuweka mazingira rafiki ili kuendelea kuwavutia wawekezaji hapa nchini. Waziri Sima: NEMC haitakuwa kikwazo kwa wawekezaji Na Mwandishi Wetu, Lindi NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bw. Mussa Sima amelipongeza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) ambalo lipo chini ya Ofisi yake kwa namna linavyopambana ku

Waziri Biteko asisitiza zebaki kutotumika migodini

Image
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Samuel Gwamaka  akizungumza  wakati wa kufunga maadhimisho ya siku tatu ya miaka 50 ya taaluma ya jiolojia  iliyofanyika mwishoni mwawiki jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nishati na Madini Dotto Biteko  akizungumza  wakati wa kufunga maadhimisho ya siku tatu ya miaka 50 ya taaluma ya jiolojia  iliyofanyika mwishoni mwa wik i jijini D ar es Salaam. Waziri Biteko asisitiza  zebaki kutotumika migodini Na Abdallah Luambano, Dar es Salaam MATUMIZI ya zebaki katika uchimbaji wa madini  umeelezwa kuwa hatarishi kwa afya ya binadamu  hasa kwa watumiaji ambao ni wachimbaji   wadogo wa madini pamoja na mazingira yanayoizunguka eneo husika. Akizungumza wakati wa kufunga Maadhimisho ya Siku Tatu ya Miaka 50 ya Taaluma ya Jiolojia  mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, Waziri wa Madini, Bw.Doto Biteko alisema wizara imeingia mkataba unaozuia matumizi ya zebaki duniani kwani  ni k

Waziri Kairuki aitaka TPSF ishiriki kuboresha sheria za biashara na uwekezaji.

Image
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Mhe. Angellah kailuki.  (Kulia)  Akisalimiana na   Mwenyekiti wa taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Salum Shamte (kushoto)  Mara baada ya kuwasiri kwenye  Mkutano  Mkuu wa  19 wa Mwaka (AGM) wa Taasisi hiyo uliofanyika  Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Mhe. Angellah kailuki.  (Kushoto) akizungumza  jambo na Mwenyekiti wa taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Salum Shamte ( kulia)  mara baada  ya kuwasiri kwenye  Mkutano  Mkuu wa  19 wa Mwaka (AGM) wa Taasisi hiyo uliofanyika  Jijini Dar es Salaam. (Katikati) ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Bw. Godfrey Simbeye. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Mhe. Angellah kailuki.  (Kushoto) akizungumza  jambo na Mwenyekiti wa taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Salum Shamte ( kulia)  mara baada  ya kuwasiri kwenye  Mkutano  Mkuu wa  19 wa