Posts

Growing agricultural mechanisation boosts morale of Mbarali paddy growers.

Image
  By Paul Mahundi,Dar es salaam Mbarali, the second largest district in Mbeya Region after Chunya, is set to increase paddy production because of growing agricultural mechanisation that is targeting smallholder growers in the district.    Mechanisation is championed by the Tanzania Agricultural Development Bank (TADB). Smallholders are Tanzania’s main growers of paddy and the government asserts in the National Rice Development Strategy Phase II (NRDS II) “around 90% of Tanzania’s rice production takes place under smallholder system.   The sizes of rice farms range from 0.5 to 3 ha, with an average farm size of 1.3 ha.” A Mbarali paddy grower who attended   the just- ended 45 th Dar es Salaam International Trade Fair ( DITF), Mr Amos Mwangulube, told agriculture reporters here   that morale of paddy growers in their district has increased because   15 combine harvesters receive by Nguvu Kazi ya Wanavala Cooperative society will be seconded to other small paddy

TADB-supported projects for Uhuru call

Image
By Mosses Ferdinand, Mwanza     Mwanza, Kagera, Mara Reions have picked 3 TADB-supported for Uhuru Torch call that are being implemented   in Missungwi, Nyamagana, Ngara, Tarime and Roya Districts.   A press statement on the projects issued here yesterday by the TADB Zonal Manager, Mr Mike Granta,   says   Authur Mgongo Poultry Farm with branches in Missungwi and Nyamagana Districts, Mwanza Region, was picked for Uhuru Torch call because it is touted as state of art modern poultry farm in the two districts and was declared a demonstration farm by Mwanza Region development committee.   “TADB has financed construction of the building and cage at a valued cost of 300m/-. Nyamagana District Council is also using this project as an institution for students to get practical training in poultry keeping,” the statement says.   Superior quality coffee seedlings are being distributed to coffee growers to replace traditional variety and   improve the eminence of the crop and

TADB: Wakulima Kunufaika na Dhamana ya mikopo kwa asilimia 50%

Image
Na Mosses Ferdinand, Dar es salaam, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewahakikishia dhamana ya asilimia hamsini (50%) wakulima ili kuwawezesha kuweza kupata mikopo itakayoweza kuwezesha ufanisi katika sekta ya kilimo.   Akizungumza mara baada ya kusaini makubaliano yenye thamani ya Dola za Kimarekani Milioni 20 na Mfuko wa Dhamana Afrika (AGF), Makao Makuu ya Benki hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bw. Japhet Justine amesema Benki imeingia makubaliano hayo kwa lengo la kuwainua wakulima wadogowadogo, wa kati na wakubwa ili kuwawezesha uarahisiwa kupata mikopo kwa kupata dhamana nafuu.   “Leo tumefikia makubaliano haya na wenzetu wa AGF yenye malengo mazuri kwa wakulima wetu kwa maana kurahisisha kupata dhamana ya asilimia hamsini pindi waombapo mkopo” Alisema Bw. Japhet.   Amesema makubaliano hayo yamejikita pia kwenye kuwasaidia wanawake kwa kuwa sehemu kubwa ya watu wanaofanya shughuli za kilimo nchini ni wanawake.   “Wote tunafahamu kuwa vijana

TADB yaahidi kuwapatia mikopo wakulima wa zabibu

Image
  Na Abdallah Luambano, Dodoma Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), imewahakikishi wakulima wa zao la zabibu kupata mikopo itakayosaidia uzalishaji wa zao hilo ambalo ni miongoni mwa mazao ya kimkakati na muhimu kwa utoaji wa malighafi ya kutengenezea mvinyo. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano    na wadau wa zao hilo ulioitishwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana jijini hapa, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Japhet Justine amesema benki yake itaendelea kutekeleza mikakati ya serikali ya kukuza sekta ya kilimo kwa kutoa mikopo ambayo itasaidia kuongeza uzalishaji na kuwaunganisha wakulima wengi kwenye mnyororo wa thamani wa mazao. “Miongoni mwa malengo ya kuanzishwa kwa benki hii ni pamoja na kuhakikisha inachangia kwa kiasi kikubwa katika kuleta mapinduzi yenye tija katika sekta ya kilimo nchini kwa kuwezesha upatikanaji wa mikopo. Tunawahakikishia wakulima wa zabibu mikopo yenye masharti nafuu na ambayo itasaidia kuongeza uzalishaji wa

NEMC yahimiza ushirikiano na halmashauri kulinda mazingira, kuvutia wawekezaji

Image
Na Abdallah Luambano,Dar es salaam Baraza la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira nchini (NEMC) limeziomba halmashauri nchini kuweka mazingira safi na salama ili kulinda afya za watu na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje. Mkurugenzi wa NEMC, Dkt Samuel Gwamaka,  amesema hapa kwamba mafanikio ya nchi ya kiuchumi lazima yaendane  na ustawi, usimamizi na utunzwaji wa mazingira ili kulinda afya za watu, uhai wa viumbe wengine na kuwavutia wawekezaji. “Nchi yetu imepata mafanikio makubwa. Ili mafanikio haya yawe endelevu  lazima halmashauri zihakikishe mazingira ni rafiki kwa jamii.” Alisema Dkt. Gwamaka. Dk. Gwamaka amesema mazingira ya  yakiwa mazuri na salama yatavutia wawekezaji wengi zaidi kutoka nje ya nchi yetu na  mapato yataongezeka kutokana na kodi na hata kuchagiza fursa za ajira kwa  vijana nchini. “Natoa rai kwa halmashauri zetu kutambua kwamba hawa wawekezaji wanaangalia vitu vingi ikiwemo na mazingira ya eneo la kuwekeza hivyo ni jukumu letu kushirikiana kwa pamoja ku

NEMC: councils should keep environment clean to attract investors

Image
  By Abdallah Luambano, Dar es Salaam The National Environment Management Council (NEMC) has called on city, municipal and town councils to ensure the environment in their jurisdictions remains safe and clean in order to attract investors. NEMC Director General Samuel Gwamaka said here a clean and safe environment was one of important considerations for investors. Investors, he explained, were very mindful of their resources.  Investors do not want undue inconveniences, or run into avoidable problems and suffer loses, he explained, and called on leaders and people to be mindful of that fact too in order to promote economic growth in their areas. “Local councils are very close to the people and have a lot of powers to make by-laws where necessary to ensure cleanliness and safe environment in order to protect people’s health and their safety.  Now that our country has become a middle-income economy, councils must keep their areas clean and friendly to society in order to attract

NEMC yahimiza ushirikiano na halmashauri kulinda mazingira, kuvutia wawekezaji

Image
  Na Paul Mahundi, Dar es salaam   Baraza la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira nchini (NEMC) limeziomba halmashauri nchini kuweka mazingira safi na salama ili kulinda afya za watu na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje. Mkurugenzi wa NEMC, Dkt Samuel Gwamaka,   amesema hapa kwamba mafanikio ya nchi ya kiuchumi lazima yaendane   na ustawi, usimamizi na utunzwaji wa mazingira ili kulinda afya za watu, uhai wa viumbe wengine na kuwavutia wawekezaji. “Nchi yetu imepata mafanikio makubwa. Ili mafanikio haya yawe endelevu   lazima halmashauri zihakikishe mazingira ni rafiki kwa jamii.” Alisema Dkt. Gwamaka. Dk. Gwamaka amesema mazingira ya   yakiwa mazuri na salama yatavutia wawekezaji wengi zaidi kutoka nje ya nchi yetu na   mapato yataongezeka kutokana na kodi na hata kuchagiza fursa za ajira kwa   vijana nchini. “Natoa rai kwa halmashauri zetu kutambua kwamba hawa wawekezaji wanaangalia vitu vingi ikiwemo na mazingira ya eneo la kuwekeza hivyo ni jukumu letu kushirikiana kwa pamoj