PICHA TNBC































Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akizundia rasmi Muongozo wa Majadiliano lkati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi katika ngazi za Wilaya na mikoa uliofanyika jijini Dodoma jana. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo na kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Dr. Godwill Wanga.(Picha na Mpigapicha wetu).


Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akimkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo, muongozo wa Majadiliano kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi katika ngazi za Wilaya na mikoa aliyouzindua jijini Dodoma jana. (Picha na Mpigapicha wetu).


Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi muongozo wa Majadiliano kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi katika ngazi za Wilaya na mikoa aliyouzindua jijini Dodoma jana. (Picha na Mpigapicha wetu).


Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk.Leonard Akwilapo  muongozo wa Majadiliano kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi katika ngazi za Wilaya na mikoa aliyouzindua jijini Dodoma jana. (Picha na Mpigapicha wetu).


 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge muongozo wa Majadiliano kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi katika ngazi za Wilaya na mikoa aliyouzindua jijini Dodoma jana. (Picha na Mpigapicha wetu).



























































 







 








Comments

Popular posts from this blog

Gold mine in Songwe wins ministerial praise for protecting environment

Tanzania praised for being keen on fertilisers going to farmers

NEMC warns on emptying effluent in built-up areas, flood waters