Posts

NEMC: councils should keep environment clean to attract investors

Image
By Paul Mahundi, Dar es Salaam The National Environment Management Council (NEMC) has called on city, municipal and town councils to ensure the environment in their jurisdictions remains safe and clean in order to attract investors. NEMC Director General Samuel Gwamaka said here a clean and safe environment was one of important considerations for investors. Investors, he explained, were very mindful of their resources.   Investors do not want undue inconveniences, or run into avoidable problems and suffer loses, he explained, and called on leaders and people to be mindful of that fact too in order to promote economic growth in their areas. “Local councils are very close to the people and have a lot of powers to make by-laws where necessary to ensure cleanliness and safe environment in order to protect people’s health and their safety.   Now that our country has become a middle-income economy, councils must keep their areas clean and friendly to society in order to attract more

Tanzania praised for being keen on fertilisers going to farmers

Image
By Abdallah Luambano, Dar es Salaam Yara Tanzania Limited, a local branch of the Norwegian fertiliser-producing company, has praised the government for being strict on fertilisers going to farmers thus protecting growers from receiving fake or bad fertilisers that would otherwise be pushed in the market because of indifference on the part of authorities. Speaking to reporters two days after Prime Minister Kassim Majaliwa launched national deliveries operation for taking free Yara fertilisers to registered farmers countrywide, Yara Tanzania Ltd Managing Director, Mr Winstone Odhiambo, commended the government for being very particular on fertilisers being sold to Tanzanian farmers.    He said national institutions entrusted with control of farm inputs researched and satisfied themselves before fertilisers were put into circulation. I am thankful to the government, through the ministry of agriculture, for cooperating with us in implementing our companys initiative that see

YARA yajizatiti kuchangia uimarishaji wa sekta ya kilimo

Image
Na Abdallah Luambano, Dar es Salaam Kampuni ya YARA Tanzania imeahidi kushirikiana na serikali kwa karibu sana ili kuhakikisha mpango wa ugawaji mbolea bure kwa wakulima nchini unakuwa wa manufaa kwa wakulima na taifa kwa jumla.    Akizungumza na waandishi wa habari juzi, siku chache  baada ya uzinduzi wa ugawaji wa mbolea uliofanyika Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bw.Winstone Odhiambo,  alisema mpango huo umelenga kuhakikisha nchi za Afrika ikiwemo Tanzania zinajitosheleza katika kuzalisha chakula.  Kwa upande wa Tanzania mpango huo ni jitihada ya kampuni yao kuchangia jihada ya serikali katika kuimarisha sekta ya kilimo. Lengo la kampuni ni kuhakikisha  uzalishaji wa mazao hususani mahindi na mpunga unaongezeka katika nchi za Afrika kupitia mradi maalum wa kampuni ujulikanao kama Action Africa,alisema Odhiambo Alisema mradi wa ugawaji mbolea bure ni moja ya miradi mikubwa ambayo imetekelezwa tangu kampuni kuanzishwa nchini Tanzania miaka 15

Waziri Bashe azindua kiwanda cha pamba cha Chato

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),Bw.Japhet Justine (kushoto)akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Kilimo,Bw.Hussein Bashe muda mfupi baada ya kukizindua kiwanda cha pamba cha Chato(CCU) mwishoni mwa wiki.Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Gabriel.TADB imeshatoa kiasi cha shilingi bilioni 6.7 kukifufua kiwanda hicho. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania(TADB),Japhet Justine akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa kiwanda cha pamba Chato mwishoni mwa wiki.TADB imetoa kiasi cha shilingi bilioni 6.7 kukifufa kiwanda hicho.Uzinduzi ulifanywa na Naibu wa Kilimo,Bw. Hussein Bashe na kuhudhuriwa pia na Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Gabriel.   Na Abdallah Luambano, Chato NAIBU Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezidua Kiwanda cha Pamba cha Chato (CCU) na kuielezea hatua kama mpango kabambe wa serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais  Dkt. John Pombe Magufuli  wa kujenga sekta ya kilimo inayojitegemea sambamba

Waziri Mkuu azindua mpango wa ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima 83,000 nchini

Image
Balozi wa Norway Nchini Bi.Elisabeth Jocobsen(wapili kulia) akizunguma jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa(wapili kushoto) mara baada ya kuzindua mpango wa kusambaza mbolea bure kwa wakulima wadogo nchini mpango umeratibiwa na Kampuni ya YARA Tanzania kupitia mradi wa uitwao Action Africa ambapo zaidi ya tani 12,500 zitatolewa. kushoto ni Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga na Kulia ni Mkurugenzi wa YARA Tanzania Winstone Odhiambo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza jambo katika uzinduzi wa rasmi wa ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima zaidi ya 83,000 nchini uliofanyika ofisi za kampuni ya YARA Tanzania jijini Dar es Salaam na kumeratibiwa na Kampuni hiyo kupitia mradi wa Action Africa ambapo zaidi ya tani 12,500 zitatolewa. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa(watatu kulia) akinyanyua bendera kuashiria uzinduzi rasmi wa ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima wadogo nchini uliofanyika ofisi za kampuni ya YARA Tanzania jijini Dar es Salaam na kumeratibiwa na Kampuni hiyo kupitia mradi

Mshairi: Talanta ya mtu ni hazina ya ajira yake

Image
Na Isdory Njavike, Dar es salaam Mshairi chipuki, Aisha Kingu, jana Jijini Dar es Salaam amewaomba  vijana wa Tanzania kuzienzi talanta zao na kuziendeleza kwani  wakizitumia talanta hizo taratibu wataweza kujiajiri. Akiongeza kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu chake cha mashairi ya  Kiingereza kiitwacho Poetry Rebirth kijana huyo amesema talanta ya mtu  imeficha fursa nyingi ikiwa ni pamoja na kujiajiri.   Ameeleza kuwa  mafanikio ni matokeo ya kujituma, kazi ngumu  na yenye ustadi ndani  yake na  ustahimilivu na kwamba talanta huibuka kutokana na kazi ya  aina hiyo.  Aisha Kingu  amesema kitabu hicho  kimebeba  mashairi 101 yanayogusa  nyanja tofauti za maisha yakiwemo mashairi ya shukrani, upendo,  mafanikio, na matumaini..  “Nimeandaa hafla hii ili kupata nafasi ya kuwapa  hamasa  vijana  wezangu wenye vipaji  kutambua na kuendeleza vipaji vyao ili viwe  nyenzo muhimu katika kujiinua kiuchumi,”  amesema  Bi. Kingu. Amewaomba wazazi kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuziendeleza

Poet: Your talent can employ you

Image
By Isdory Njavike, Dar es Salaam A budding poet and author, Aisha Kingu, said in Dar es Salaam she believes many people have undeveloped that are likely employ them if those talents are developed. Aisha, who launched her book entitled Poetry Rebirth  in the city, said she believed many people’s talents remained undeveloped, adding that if young people recognized their talents and let them developed they would employ themselves. “Writing poetry has been my burning passion.  I have written numerous poems.  Those who have come across them told me I have a talent to nurture. I have continued to write poems and this has exposed me to hidden opportunities.  Opportunities are a source of employment and honour,” she argued.  The book she launched has 101 poems. Aisha has written poems about retired President Jakaya Kikwete and on other subject. As a result of the poems she wrote she met Russian President Vladimir Putin and British Queen Elizabeth. She said she held a lunch function in