Simbachawene akifungia kiwanda cha nondo kwa ukiukwaji sheria mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na
Mazingira),George Simbachawene(kulia),akitoa maelekezo kwa mmiliki wa kiwanda
cha Fujian Hexingwang Industry katika ziara ya siku moja alipotembelea
kiwanda hicho kilichopo Kisemvule Mkoa wa Pwani na kukifungia kwa kipindi cha
mwezi kwa kusababisha uchafuzi wa mazingira katika makazi ya watu na kukiuka
sheria na kanuni za mazingira.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na
Mazingira),George Simbachawene(kulia) akimsikiliza mmoja wa watendaji wa
kiwanda cha kuzalisha nondo cha Fujian Hexingwang Industry kilichopo Kisemvule
Mkoa wa Pwani kabla ya kukifungia kiwanda hicho kwa kipindi cha mwezi kwa
kusababisha uchafuzi wa mazingira katika makazi ya watu na kukiuka sheria na
kanuni za mazingira.

Comments
Post a Comment