Simbachawene Picha



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira)George Simbachawene (kulia) akizungumza jambo na Balozi wa Italy nchini, Roberto Mengoni(kushoto) mara alipotembelea na Balozi huyo ofisi za Wizara hiyo jijini Dar es salaam kujadiliana juu ya kushirikiana katika kusimamia miradi ya kutunza mazingira ili kuepukana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi.

Balozi wa Italy nchini Tanzania, Roberto Mengoni(kushoto) akizungumza jambo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira)George Simbachawene(kulia) alipomtembelea ofisi za Wizara hiyo jijini Dar es salaam kujadiliana juu ya kushirikiana katika kusimamia miradi ya kutunza mazingira ili kuepukana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi.


Comments

Popular posts from this blog

Mkuu wa Mkoa Pwani asifu juhudi za mmiliki wa Makampuni ya Global Packaging na Wande Printing

17 projects to house 80,000 tonnes of crops being built

Tanesco: Azma ya uchumi wa kati na wa viwanda ifikapo 2025 inatekelezeka