Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza katika mkutano na wadau wa sekta ya kilimo ambapo ameipongeza kampuni ya YARA Tanzania kwa uwekezaji mkubwa wanaofanya katika sekta ya kilimo hapa Nchini,kulia ni Balozi wa Norway Nchini Tanzania, Elisabeth Jacobsen,Katikati,Mkurugenzi Mtendaji wa YARA Tanzania,Bw. Winstone Odhiambo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya YARA Tanzania Bw. Winstone Odhiambo (Kulia) kuhusu uwekezaji uliofanywa na Kampuni hiyo katika sekta ya kilimo, Wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Temeke, Bw. Godwin Gondwe Na Mosses Ferdinand, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Mjaliwa ameitaka Kampuni ya mbolea bolea ya YARA kuongeza uwekezaji wa mbolea hapa nchini sambamba na kuinua sekta ya kilimo ili kuongeza tija na manufaa zaidi kwa mkulima. Akizungumza mara baada ya kutembelea Makao Makuu ya kampuni ya YARA yaliyopo jijini Dar es ...
Comments
Post a Comment