Waziri Mwijage azindua kiwanda cha kwanza kuzalisha Mita za LUKU Dar

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. CharlesMwijage (kushoto) akiagana Mwakilishi wa Mwekekezaji wa Kiwanda cha INHEMETER, Bw. Mustafa Rashid muda mara baada ya kukizindua kiwanda hicho  ambacho ni kwanza nchini kitakachozalisha Mita za LUKU mwishoni mwa wiki.




WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage(kushoto) akitoa kitambaa kuashilia uzinduzi wa Kiwanda INHEMETER ambacho ni kwanza nchini kitakachozalisha Mita za LUKU. Katikati yake ni Mwakilishi wa Mwekekezaji, Bw. Mustafa Rashidi na Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Bw. Abraham Rajakili jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wageni waalikwa wakimsikiliza Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage(hayupo pichani)  kabla ya kuzindua kiwanda cha  INHEMETER ambacho ni kwanza nchini kitakachozalisha Mita za LUKU mwishoni mwa wiki.

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage akisisitiza jambo mwishoni mwa wiki kabla ya kuzindua kiwanda cha INHEMETER ambacho ni kwanza nchini kitakachozalisha Mita za LUKU. 
Kushoto yake ni Mwakilishi wa Mwekekezaji, Bw. Mustafa Rashidi na Mshauri Mkuu wa Kiwanda ambaye pia ni Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhem Meru.









Comments

Popular posts from this blog

Tanzania praised for being keen on fertilisers going to farmers

Gold mine in Songwe wins ministerial praise for protecting environment

NEMC warns on emptying effluent in built-up areas, flood waters