MKUTANO WA TATU ULIOWAKUTANISHA SEKTA BINAFSI NA SERIKALI WENYE LENGO LA KUSHUGHULIKIA KERO ZINAZOSUMBUA ILI KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA

Waziri wa fedha Dr Philipo Mpango akifungua mkutano wa tatu uliofanyika jana kati ya Wadau kutoka Sekta binafsi na Serikali wenye lengo la kushughulikia kero zinazosumbua ili kujenga uchumi wa viwanda


Makamu mwenyekiti Taifa Taasisi ya sekta binafsi Tanzania (TPSF) Salumu Shamte akitoa maelezo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tatu kati ya sekta hiyo na Serikali uliofanyika jana mjini Dodoma


Mkurungenzi wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Godfrey Simbeye akitoa ufafanuzi wa kusudi la mkutano kati ya sekta binafsi na Serikali uliofanyika jana mjini Dodoma

Mkurungenzi wa shirika la Kimataifa la USAID Tanzania Andy Karas akitoa mada kwenye mkutano wa tatu wa Sekta binafsi Tanzania (TPSF) na Serikali kuhusu majadiliano ya kibiashara na uchumi uliofanyika Dodoma mjini Dodoma
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzania uliofanyika mjini Dodoma jana


Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzania uliofanyika mjini Dodoma jana




Comments

Popular posts from this blog

Mbeya agro-processors get 5 acres to build 50 industries

Tanzania praised for being keen on fertilisers going to farmers

Mavunde: TADB offered 1.8bn/- to nurture Farm Access