Shell Tanzania, Taasisi ya Vijana Wanasayansi (YST), wasaini Randama ambapo kampuni hiyo itatoa Dola 100,000 sawa na Shilingi milioni 235 kusaidia taasisi hiyo.


SHELL Tanzania Managing director, Mr Marc den Hartog (Right) exchanges documents with the Director and Co-Founder of Young Scientists Tanzania (YST), Dr Gozibert Kamugisha (left) shortly after signing a $100,000 (about Sh235 million) financing aid in support of YST activities in Dar es Salaam recently.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Shell Tanzania, Bw. Marc den Hartog (kulia) akibadilishana nyaraka za Makubaliano na Mkurugenzi na mmoja wa waasisi wa Taasisi ya Vijana Wanasayansi (YST), Dkt. Gozibert Kamugisha(kushoto) mara baada ya kusaini mkataba ambapo kampuni hiyo itatoa Dola 100,000 sawa na Shilingi milioni 235 kusaidia taasisi hiyo ya vijana kutekeleza majuku yake katika hafla fupi iliyofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.
Director and Co-Founder of Young Scientists Tanzania (YST), Dr Gozibert Kamugisha (left), stresses a point  to the Shell Tanzania Managing director, Mr Marc den Hartog  shortly after signing a $100,000 (about Sh235 million) financing aid in support of YST activities in Dar es Salaam recently.
Mkurugenzi na mmoja wa waasisi wa Taasisi ya Vijana Wanasayansi (YST), Dkt. Gozibert Kamugisha(kushoto) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Shell Tanzania, Bw. Marc den Hartog (kulia) mara baada ya kusaini mkataba ambapo kampuni hiyo itatoa Dola 100,000 sawa na Shilingi milioni 235 za kitanzania kusaidia taasisi hiyo ya vijana kutekeleza majuku yake katika hafla fupi iliyofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania praised for being keen on fertilisers going to farmers

Gold mine in Songwe wins ministerial praise for protecting environment

NEMC warns on emptying effluent in built-up areas, flood waters