Naibu Waziri Kangi Lugola Atembelea kiwanda cha kuyeyusha plastiki cha Nestling Campany LTD maeneo ya Mwanagati jijini Dar essalaam

Naibu Waziri Ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Kangi Lugola akisalimiana  na Diwani wa Mzinga  Bi, Sara Katanga alipotembelea kiwanda cha  kuyeyusha plastiki cha Nestling Campany LTD kilichopo Mwanagati  jijini Dar essalaam kujionea mazingira uwekezaji wa kiwanda hicho kutokana na malalamiko ya wananchi kuwa kiwanda kipo maeneo ya makazi . Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la ukonga Mh, Mwita  Waitara
Naibu Waziri Ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Kangi Lugola(katikati)akipokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali alipotembelea kiwanda cha  kuyeyusha plastiki cha Nestling Campany LTD kilichopo Mwanagati  jijini Dar es salaam kujionea mazingira uwekezaji wa kiwanda hicho kutokana na malalamiko ya wananchi kuwa kiwanda kipo maeneo ya makazi. kulia ni Diwani Kata ya Mzinga Bi.Sara Katanga , wa pili kulia ni  mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Mwanagati Bw, Chacha Momba, kushoto ni Mbunge wa Jimbo la ukonga Mh, Mwita  Waitara.


Naibu Waziri Ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Kangi Lugola akizungumza jambo na   Meneja wa kiwanda cha kuyeyusha plastiki cha Nestling Campany LTD Bw, Athumani Ramadhani  alipotembelea kujionea mazingira uwekezaji wa kiwanda hicho kutokana na malalamiko ya wananchi kuwa kiwanda kipo maeneo ya makazi.   kushoto  ni Job isaack Diwani Kata ya mzinga.

Naibu Waziri Ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Kangi Lugola(katikati) akitoa maelekezo kwa mkurugenzi wa Kiwanda cha kuyeyusha plastiki(Nestling Campany LTD) Bw,MichaelMakenge wa kwanza (kulia) kilichopo Mwanagati  jijini Dar essalaam alipotembelea na  kujionea mazingira uwekezaji wa kiwanda hicho kutokana na malalamiko ya wananchi kuwa kiwanda kipo maeneo ya makazi.wa pili (kulia) Bw, Athumani Ramadhani  Meneja wa kiwanda hicho ,  kushoto ni Mbunge wa Jimbo la ukonga Mh, Mwita Waitara.



Naibu Waziri Ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akionyeshwa baadhi ya barua na vibali kutoka Baraza la uhifadhi na usimamizi wa Mazingira(NEMC) zilizowataka kufunga kiwanda hicho cha kuyeyusha plastiki(Nestling Campany LTD) kilichopo mwanagati jijini Dar es salaam kutokana na kiwanda hicho kufanya uzalishaji katika maeneo ya makazi. kulia ni  Mratibu wa Mazingira NEMC,Kanda ya Mashariki Bw. Jaffar Chingege , wapili kulia ni Mkurugenzi wa nestling campany ltd, Bw,Michael Makenge  watatu kulia ni Bw, Athuman Ramadhani meneja wa kiwanda .




Comments

Popular posts from this blog

Tanzania praised for being keen on fertilisers going to farmers

NEMC warns on emptying effluent in built-up areas, flood waters

Gold mine in Songwe wins ministerial praise for protecting environment