Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu, Profesa Faustin Kamuzora
akisisitiza jambo kwa  Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara
(TNBC) Mhandisi Raymond Mbilinyi( kulia) na watendaji wa Baraza
alipofanya ziara ya kutembelea ofisi hizo kujifunza shughuli zake
jijini Dar es salaam jana.


Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania(TNBC) Mhandisi
Raymond Mbilinyi(kulia) akimkabidhi mkoba wenye kabrasha mbalimbali za
 baraza kwa  Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu, Profesa Faustin Kamuzora(Kushoto)
alipotembelea ofisi za Baraza kwa lengo la kijifunza kazi za baraza.
Mkurugenzi wa Mazingira ya Biashara Baraza la Taifa la Biashara
(TNBC) bW.Arthur Mtafya(wapili kulia) akiwasilisha mada  juu ya
muundo wa Baraza  kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na
Uratibu, Profesa Faustin Kamuzora(kulia) alipofanya ziara ya kujifunza
kazi za baraza hilo jijini Dar es Salaam jana. Watatu kulia ni Mkuu wa
Idara cha Fedha
TNBC,Bi.Oliva Vegulla. kushoto ni Meneja wa Mazingira ya Biashara Bw.Willy
Magehema.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania(TNBC) Mhandisi
Raymond Mbilinyi(kulia) akisisitiza jambo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera na Uratibu, Profesa Faustin Kamuzora(kushoto) alipofanya ziara ya
kutembelea Ofisi za Baraza hilo kwa lengo la kujifunza kazi za baraza.

Comments

Popular posts from this blog

NEMC warns on emptying effluent in built-up areas, flood waters

Set aside land for investment, Kairuki tells RCs,district councils