Posts

Showing posts with the label Business and Finance

Mkutano mkuu TPSF kutathmini muundo, utendaji wake

Mkutano  mkuu TPSF  kutathmini  muundo, utendaji wake Daniel Lwimiko, Dar es salaam MAANDALIZI ya Mkutano  Mkuu wa  19 wa Mwaka (AGM) wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) unaotarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kesho yamekamilika ambapo wanachama wameombwa kushiriki kwa wingi pamoja nakufanya tathmini ya utendaji  na kuangalia muundo wake ili kuendana na wakati. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo, Bw. Godfrey Simbeye alisema wajumbe watapata nafasi kujadiliana masuala mbalimbali ikiwemo muundo wa taasisi ili kukidhi matarajio ya wadau wote katika sekta za biashara na uchumi. “Mkutao huo wa siku moja umelenga kupitia upya muundo wa TPSF na namna ya kuwafikia wanachama wapya ili kwenda sambamba na azma ya serikali ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kujenga uchumi wa kati na viwanda ifikapo mwaka 2025,” alisema Bw. Simbeye. Alisema TPSF kama taasisi inayosimamia

SAGCOT sign MoU with South Korea Rural Community Corporation (KRC) on rural irrigation

Image
South Korean Ambassador to Tanzania, Mr Song Geum-young (left) congratulates the Southern Agricultural Growth of Tanzania (Sagcot) Chief Executive Officer Geoffrey Kirenga (second right) shortly after signing in Dar es Salaam early this week, the MoU on rural irrigation. The Songwe Regional Commissioner Ms Chiku Galawa, looks on. The South Korea Rural Community Corporation (KRC), Dr Chung Seung (second left) and the Southern Agricultural Growth of Tanzania (Sagcot) Chief Executive Officer Geoffrey Kirenga (second right) display papers of the MoU shortly after signing it in Dar es Salaam early this week. The signing ceremony was witnessed by witnessed by South Korean Ambassador to Tanzania Mr. Song Geum-young (left) and the Songwe Regional Commissioner, Ms. Chiku Galawa. South Korean Ambassador to Tanzania, Mr Song Geum-young (left) congratulates the Southern Agricultural Growth of Tanzania (Sagcot) Chief Executive Officer Geoffrey Kirenga (second right) shortly after sig

Watanzania wakipata msaada muafaka watainua kilimo, asema Kirenga

Image
Na Rukiza Kyaruzi, Jijini Mbeya Wakati serekali  na wadau maarufu wanafanya  jitihada kubwa kuirudishia mikao ya nyanda za juu kusini heshima yake ya kuwa ‘ kapu la chakula la taifa’   maonyesho ya shughuli za kilimo, maarufu kama NaneNane  yaliyofanyika Jijini Mbeya hivi karibuni ( Agosti 8, 2017) Sagcot  imeyaona maonyesho hayo kuwa  ni fursa waliyotumia  Watanzania  kuonyesha uwezo wao katika kilimo  na kupokea changamoto mpya. Akitoa salaamu za Kituo cha Kuendeleza Kilimo Kusini mwa Tanzania (SAGCOT),  Mkurugenzi Mtendaji , Bwana Geoffrey Kirenga, ameeleza hadhara ya ufungaji wa maonyesho hayo kwamba maonyesho hayo yamedhahirisha uwezo wa Watanzania katika kuinua kilimo ili kiwe uti wa mgongo wa kweli  wa Tanzania ya uchumi wa kati ambao utategemea viwanda. Mkurugenzi Mtendaji huyo ameeleza kuwa  Watanzania wakipewa msaada wakati unaofaa wataleta mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo. “Watanzania”, aliuhakikisha umma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa n